Welcome to Maisha Package Products

Be Sexually Healthy And clean.

Some words About Us


MaishaPackage is a product with SRH information & menstrual hygiene product inside with the aim of solving teenager pregnancy by providing easily access to information and friendly services to youth.

MaishaPackage ni kifurushi maalumu cha uzazi chenye taulo la uzazi na taarifa muhimu za afya ya jinsia na uzazi salama kwa lengo la kupunguza mimba za utotoni kwa njia ya kutoa taarifa zilizo sahihi na huduma rafiki.

  • Mission - To ensure that Tanzania youth are well equipped with right information about Sexual and Reproductive Health and has access to it by 2020.
  • Vision - To see Tanzania with no teenage pregnancy.

Take a look at our services


MaishaPackage provide you a lot at once, Sexual and Reproductive Health Information, Sanitary Pads, Underpants, Urine Scanner, Condom. Condom is only available in MaishaPackage+ . You can get each package for Tsh. 3600/- at Schools, Pharmacy, and Local Shops.

Maishapackage inakupatia vingi kwa pamoja, pata taarifa muhimu za afya ya jinsia na Uzazi, Pedi (Taulo la uzazi), Kipimo cha mkojo, Chupi na Kondomu. Kondomu itapatikana katika kifurushi cha MaishaPackge+ pekee. Utapata Maishapackage kwa Tsh. Elfu 3600/- tu za kitanzania kwa sasa kipo Mashuleni, Maduka ya dawa na Maduka ya kawaida.

MAISHA PACKAGE PLAIN (ENGLISH)

MaishaPackage plain is a Kit containing Sexual and Reproductive Health information and Menstrual Hygiene products such as; Sanitary Pads, Underpants and UTI test.

MAISHA PACKAGE PLAIN (KISWAHILI)

MaishaPackage plain ni kifurushi chenye kitita cha Elimu ya Afya ya Uzazi na Jinsia pamoja na vifaa vya Hedhi salama kama vile; Taulo la uzazi (pedi), chupi za kike na kipimo cha UTI.

MAISHA PACKAGE PLUS (ENGLISH)

MaishaPackage plus is a Kit containing Sexual and Reproductive Health information and Menstrual Hygiene products such as; Sanitary Pads, Underpants, UTI test and Male Condoms.

MAISHA PACKAGE PLUS (KISWAHILI)

MaishaPackage plus ni kifurushi chenye kitita cha Elimu ya Afya ya Uzazi na Jinsia pamoja na vifaa vya Hedhi salama kama vile; Taulo la uzazi (pedi), chupi za kike, kipimo cha UTI na Kondomu za kiume.

Meet our team


Here are our PartnersOur clients’ testimonials


Feel free to contact us


Address:
Life Package Solutions Company
3rd Floor Moyo House, Near Open University.

Phone: +255758 278 017 Email: info@maishapackage.co.tz